Tanzania yajiondoa kwenye sheria ya kushtaki Serikali

KTN News Dec 09,2019


View More on Leo Mashinani

Tanzania Imejitoa Katika Kifungua Kinachowezesha Raia Na Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Kuishtaki Serikali Ya Nchi Hiyo Katika Mahakama Ya Afrika Ya Watu Na Haki Za Binadamu Iliyopo Arusha Kaskazini Mwa Taifa Hilo. Watetezi Wa Haki Za Binadamu Nchini Tanzania Wanalaani Uamuzi Huo Kwa Kusema Ni Uamuzi Unaolenga Kukandamiza Zaidi Haki Za Binadamu Nchini Humo