Ufadhili wa shilingi milioni 128 watolewa Afrika Mashariki kutoka Serikali ya Ujerumani

KTN News Dec 09,2019


View More on Leo Mashinani

Inatarajiwa Wakazi Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki Watanufaika Na Dola Za Kimarekani Milioni 128 Zilizotolewa Na Serikali Ya Ujerumani Kusaidia Sekta Ya Afya Na Elimu. Mkataba Wa Kiasi Hicho Cha Fedha Umetiwa Saini Mjini Arusha Nchini Tanzania Baina Ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki Na Ujumbe Wa Serikali Ya Ujerumani