Wakazi wa Taita Taveta watoa maoni yao ya Ripoti ya BBI

KTN News Dec 09,2019


View More on Leo Mashinani

Huku Ripoti Ya Bbi Ikiendelea Kuzua Hisia Tofauti Kutoka Kwa Viongozi Mbali Mbali Wakaazi Wa Kaunti Ya Taita Taveta Pia Wameelezea Hisia Zao Kuhusu Ripoti Hiyo Ya Bbi. Kunao Wanaoifurahia Ila Pia Wapo Wengine Wanaotilia Shauku. Mwanahabari Wetu Hezron Kimari Huko Mwatate Alitangamana Na Baadhi Ya Wananchina Kuandaa Taarifa Ifuatayo.