Washukiwa wanaodaiwa kumlawiti mwanamume mmoja wamefikishwa kortini katika kaunti ya Meru

KTN News Dec 09,2019


View More on Leo Mashinani

Washukiwa Wanne Wanaodaiwa Kushambulia Na Kumdhulumu Mwanamume Mmoja Mwenye Umri Wa Miaka Arobaini Na Saba Katika Kijiji Cha Kithaku Kaunti Ya Meru Wamefikishwa Katika Mahakama Ya Githongo Leo Kujibu Mashtaka. Inadaiwa Kuwa Kando Na Kumpa Kichapo Mzee Huyo, Walijeruhi Sehemu Zake Za Siri,Tukio Lililomsababisha Kulazwa Hospitalini.