Wakazi wa Malindi wapokea msaada baada ya hospitali ya kaunti kufadhiliwa na dawa

KTN News Dec 09,2019


View More on Leo Mashinani

Jamaa Mmoja Mkaazi Wa Malindi Ameifadhili Hospitali Ya Kaunti Ndogo Ya Malindi Alikozaliwa Miaka Arobaini Na Minane Iliyopita Na Dawa Zinazogharimu Zaidi Ya Shilingi Milioni Mbili. Kenneth Karisa Mulewa Kutoka Eneo La Jirore Huko Malindi Kupitia Wakfu Wake, Amesema Kuwa Kwa Muda Mrefu Sasa Amekua Na Lengo La Kusaidia Sehemu Ambazo Hazipati Dawa Za Kutosha.