SIMANZI KIJIJINI: Msichana aliyeuliwa azikwa Naivasha

KTN News Dec 06,2019


View More on Dira ya Wiki

Wazazi Wameshauriwa Kuchunguza Mienendo Ya Wanao Hasa Msimu Huu Wa Likizo. Haya Yanajiri Huku Msichana Wa Miaka 16 Vallery Njeri Aliyeripotiwa Kudungwa Kisu Mara 17 Na Jirani Yake Wa Miaka 17 Akizikwa Eneo La Mirera Huko Naivasha Kaunti Ya Nakuru. Waliozungumza Kwenye Mazishi Hayo Walinyoshea Kidole Cha Lawama Ovu La Matumizi Ya Dawa Za Kulevya Miongoni Mwa Vijana.