Usafiri watatizika Murang'a baada ya mporomoko wa ardhi uliosababishwa na mvua kali

KTN News Dec 06,2019


View More on Dira ya Wiki

Shughuli Ya Uchukuzi Imetatizika Katika Eneo La Gatakaini Eneo Bunge La Gatanga Kaunti Ya Murang'a baada ya mporomoko wa ardhi uliosababishwa na mvua kali Inayoendelea Kunyesha Kung'oa Miche Yamajani Chai Na Kufunga Barabara Inayoendelea Kutengezwa.