Shirika la Msalaba Mwekundu latoa tahadhari kwa wakazi wanaoishi kando kando ya mto Tana

KTN News Dec 06,2019


View More on Dira ya Wiki

Shirika la msalaba mwekundu limetoa tahadhari kwa wakazi wanaoishi kando kando ya mto tana Wakisema Wataendelea Kufurushwa Na Mafuriko Kutokana Na Kuongezeka Kwa Kiwango Cha Maji Kwenye Mto Huo. Kwa Sasa, Zaidi Ya Familia 1200 Ambazo Makazi Yao Yaliharibiwa Na Mafuriko Wanaishi Kwenye Kambi 17 Za Wakimbizi Wa Ndani Kwa Ndani Zilizobuniwa.