×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Sonko akamatwa akiwa Voi, asafirishwa kwa ndege hadi Nairobi

6th December, 2019

Gavana Wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko Amekamatwa Na Kuhojiwa Kwa Saa Kadhaa Katika Tume Ya Kupmabana Na Ufisadi. Sonko Alikamatwa Huko Voi Saa Chache Baada Ya Mkurugenzi Mkuu Wamashtaka Noordin Haji Kutoa Agizo La Kukamatwa Kwake. Kulizuka Kizaazaa Wakati Wa Kukamatwa Kwake Kati Ya Polisi Na Baadhi Ya Wafuasi Wake Waliokuwa Wakipinga Kukamatwa Huko. Baadaye Alisafirishwa Kwa Ndege Hadi Hapa Nairobi Alipowasilishwa Kwa Tume Ya Maadili Na Kupambana Na Ufisadi EACC. Sonko Anakabiliwa Na Tuhuma Za Kujipatia Mali Na Pesa Kwa Njia Isiyo Halali Miongoni Mwa Mashtaka Mengine Ya Kuhujumu Uchumi. 

.
RELATED VIDEOS