SAKATA YA ITARE: Waziri Chelugui ahojiwa kwa zaidi ya saa tano kwenye makao makuu ya DCI

KTN News Dec 04,2019


View More on KTN Leo

Waziri wa maji Simon Chelugui ameshinda kwa zaidi ya saa tano kwenye makao makuu ya DCI akihojiwa kuhusiana na sakata ya kupotea kwa shilingi bilioni 19 za mradi wa bwawa la Itare. Miongoni mwa watu waliotajwa kwenye sakata hii ni waziri wa zamani wa fedha Henry Rotich.