Awanu ya pili ya maonyesho ya uvumbuzi yaanza Mombasa | MBIU YA KTN

KTN News Dec 04,2019


View More on KTN Mbiu

Awamu ya pili ya maonyesho yatakayodumu juma zima na ambayo yanawaleta pamoja vijana wa Pwani na uvumbuzi wao yameanza hii leo katika Kaunti ya Mombasa. Wageni mbalimbali wa kimataifa akiwemo balozi wa Uingereza watahudhuria katika hafla hii yenye madhumuni ya kukuza talanta katika sekta ya teknolojia na mawasiliano miongoni mwa vijana.