Maisha na siasa ya Jaramogi Oginga Odinga na mwanawe Raila Odinga | MIRATHI YA SIASA
3rd December, 2019
Katika mirathi ya siasa leo tunaangazia siasa za maeneo ya Luo Nyanza na uzito wa familia ya Jaramogi Oginga odinga ambaye ni babake kiongozi wa ODM raila odinga. Je, waliompinga Jaramogi kisiasa walifika wapi?