Mahakama yaingilia kati mzozo baina ya hoteli ya Kempisky na kampuni ya AVIC international

KTN News Dec 03,2019


View More on KTN Leo

Mzozo baina ya hoteli ya kifahari ya Kempinsky na jirani zake unaendelea baada ya hoteli hiyo kupata agizo la mahakama ikitaka kampuni ya AVIC international real estate kusitisha ujenzi wa Orofa za hoteli, eneo la biashara na afisi eneo hilo la Westlands. Kempinsky inadai AVIC ilikiuka kanuni kuhusu uhifadhi wa mazingira miongoni mwa sababu nyingine.