3rd December, 2019
Kocha wa Gor Mahia Steve Polack ana wasi wasi ukosefu wa mishahara kwa wachezaji wa Gor Mahia huenda ukasababisha mpasuko wa kikosi pamoja na matokeo duni. Gor inaongoza ligi
kwa alama 25 baada ya kucheza mechi 10.Wachezaji wa
kogallo hawajalipwa kwa muda wa miezi minne sasa