3rd December, 2019
Jasiri iko tayari kutetea taji la kimataifa la mchezo wa Tong Il Moo Do. Zaidi ya nchi 25 zitashiriki michuano hiyo ya Mombasa open itakayongoa nanga tarehe 7 jijini Mombasa. mwenyekiti wa shirikisho la Tong Il Moo Do Clarence Mwakio anatarajia mapambano makali kutokana na timu zilijitokeza kushiriki.