Mikakati yawekwa kupambana na ubaguzi

KTN News Dec 02,2019


View More on KTN Leo

Desemba tarehe tatu yani hapo kesho ni siku kuu ya watu wanaoishi na ulemavu duniani. Maudhui ya siku hii huwa kuangazia mikakati ya kufanikisha ujumuishaji wa walemavu mbalimbali na kupambana na ubaguzi dhidi yao.