Hasara na mahangaiko kote nchini kufuatia mafuriko |MBIU YA KTN

KTN News Dec 02,2019


View More on KTN Mbiu

Msichana wa umri wa miaka minane  ni miongoni mwa watu kumi waliofariki kutokana na athari za mvua kubwa inayoendelea kunyesha sehemu ya Kaiti Kaunti ya Makueni. Saada Hassan anaelezea hali ilivyo kwenye taarifa mseto kuonyesha jinsi maeneo kadhaa yameathirika, akianzia katika Kaunti ya Makueni. Haya na mengine mengi katika makala ya Mbiu Ya KTN