Watu 500 washiriki 'Forest Challenge' kuchangisha pesa za upandaji wa miti

KTN News Dec 02,2019


View More on Leo Mashinani

Zaidi Ya Makundi 500 Yalishiriki Kwenye Shughuli Ijulikanayo Forest Challenge 2019, Katika Kaunti Ya Kiambu Ili Kuchangisha Fedha Za Kusaidia Kuimarisha Misitu Nchini Kenya.Makundi Hayo Yaliongozwa Na Mashirika Ya East Africa Wildlife Society, Shirika La Huduma Kwa Misitu Nchini KFS Miongoni Mwao Wakiongozwa Na Mwanamazingira Mkuu Wa KFS Julius Kamau, Ambaye Amewahimiza Makundi Ya Uhifadhi Mazingira Kutilia Maanani Swala La Mazingira Katika Siku Za Usoni Ikiwemo Upanzi Wa Miti. Kwenye Michezo Mbalimbali, Washiriki Hao Walijumuika Na Kushiriki Michezo Mbalimbali Ili Kuipitisha Jumbe Mbalimbali Ya Uhifadhi Mazingira Na Upanzi Miti.