Jumuiya ya EAC yatimiza Miaka 20, maadhimisho yafanyika Arusha, Tanzania

KTN News Dec 02,2019


View More on Leo Mashinani

Jumuiya Ya Afrika Mashariki Inatimiza Miaka 20 Tangu Kuundwa Upya Baada Ya Jumuiya Ya Mwanzo Kusambaratika  Mwaka 1977. Hata Hivyo Tathmini Ya Miaka 20 Inaonesha Kuwa Jumuiya Hiyo Bado Ina Safari Ndefu Ya Kutimiza Lengo La Kuanzishwa Kwake. Maadhimisho Ya Sherehe Hiyo Ya Miaka 20 Yamefanyika Katika Makao Makuu Ya Jumuiya Hiyo Mjini Arusha Nchini Tanzania.