Mama wa Tifa Bi Kenyatta asema Kenya imepiga hatua katika vita dhidi ya HIV

KTN News Dec 01,2019


View More on KTN Leo

Mama wa taifa Bi Margaret Kenyatta amesema Kenya imepiga hatua katika kuzuia kusambaa kwa virusi vya HIV katika miongo 3 iliopita.