Viongozi wa Eneo la Mlima Kenya watoa mwelekeo wao kuhusu Ripoti ya BBI

KTN News Nov 30,2019


View More on KTN Leo

Siku Tatu Tu Baada Ya Uzinduzi Wa Ripoti Ya Bbi, Viongozi Mbalimbali Wametoa Hisia Kinzani Kuhusu Ripoti Hiyo. Huku Baadhi Ya Viongozi Wa Eneo La Mlima Kenya Nao Wakitoa Mwelekeo Wao, Wenzao Katika Maeneo Tofauti Wameendeleza Mchakato Huo Katika Vikao Tofauti Kote Nchini.