×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gideon Moi atoa msaada wa shilingi milioni moja kwa waathiriwa wa West Pokot

29th November, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Seneta Wa Baringo  Gideon Moi Ametoa Msaada Wa Shilingi Milioni 1 Kusaidia Wahanga Wa Mkasa Wa Maporomoko Ya Ardhi Huko Pokot Magharibi. Zaidi Ya Watu 43 Walipoteza Maisha Kwenye Mkasa Huo. Mbunge Wa Taita William Kamket Aliwasilisha Msaada Huo Kwa Niaba Ya Mwenyekiti Huyo Wa Kanu. Alizuru Vijiji Vya Parua, Tamkal Na Paro Ambapo Kuna Kambi Ya Walioponea Mkasa Huo.

.
RELATED VIDEOS