×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi waendelea kutoa hisia zao kuhusu ripoti ya BBI iliyowekwa wazi Jumatano

29th November, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Ripoti Ya Muafaka Wa Kitaifa Ya Bbi Inazidi Kuibua Hisia Mbali Mbali Kutoka Kwa Viongozi Wa Kisias. Baadhi Ya Wabunge Kutoka Bonde La Ufa Wamejitokeza Kuiunga Mkono Ripoti Hiyo.Wakiongozwa Na Kiongozi Wa Chama Cha Mashinani Isaac Ruto, Wamewaonya Viongozi Dhidi Ya Kuzingatia Matakwa Yao Ya Kibinafsi Katika Ripoti Hiyo, Huku Wakisema Kuwa Ripoti Hiyo Ni Ya Manufaa Ya Mwananchi Wa Kawaida Wala Sio Viongozi. Vile Vile Viongozi Hao Wanaitaka Kamati Itakayooundwa Kwa Ajili Ya Utekelezaji Wa Ripoti Hiyo Ihusishe Wataalam Na Wawakilishi Kutoka Vyama Vyote Bila Ubaguzi Wa Kisiasa.

.
RELATED VIDEOS