×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ripoti ya BBI yalenga kuwaunganisha wakenya, Rais Kenyatta kupokea ripoti

26th November, 2019

Baada Ya Ngoja Ngoja Ngoja Ya Siku Nyingi Na Labda Kuumiza Matumbo Ya Baadhi Ya Watu Ripoti Ya Kamati Patanifu Ya Kitaifa Yaani Bbi Itawasilishwa Leo Kwa Rais Uhuru Kenyatta Na Kamati Hiyo Ambayo Inaongozwa Na Seneta Wa Garissa Yussuf Haji. Ripoti Hiyo Kwa Mujibu Wa Waandalizi Wake Inalenda Kuwaunganisha Wakenya Katika Maswala Kadhaa Ambayo Yaliwatenganisha. 

.
RELATED VIDEOS