26th November, 2019
Kaskazini Mwa Kenya Kama Vile Garissa Na Maeneo Jirani Mafuriko Yanazidi Kuwapa Dhiki Wakazi Wa Sehemu Hizi. Kumekuwa Hasara Na Hasira Za Wakaazi Kuhusu Mafuriko Katika Maeneo Hayo Kilio Cha Waathiriwa Wa Maeneo Hayo Na Jirani Zao Wa Tana River.