Mashahidi watatu watambuliwa katika kesi ya kifo cha mwanahabari Eric Oloo

KTN News Nov 25,2019


View More on KTN Leo

Sabina Kerubo, Inspekta wa Polisi katika Kituo cha Polisi cha Ugunja na ambaye mwanahabari Eric Oloo alipatikana ameaga ndani ya nyumba yake wiki jana, sasa atakuwa shahidi katika mauaji ya mwanahabari huyo. 

Kerubo, binti yake na msaidizi wa nyumbani awali walikuwa washukiwa. Kevin Ogutu anavyotuarifu, ni mandugu wawili ambao wamesalia kama washukiwa na ambao watafikishwa mahakamani desemba tarehe kumi, baada ya ombi la mashtaka.