×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mashahidi watatu kuwasilishwa mahakamani kuhusiana na kifo cha mwanahabari Erick Oloo |KTN MBIU

25th November, 2019

Kwenye kesi ya mauaji ya mwandishi wa habari huko maeneo ya Siaya marehemu Erick Oloo, sasa imeratibiwa kwamba mashahidi watatu watawasilishwa mahakamani kuhusiana na kesi hiyo. Oloo alipatikana ameuawa ndani ya chumba cha afisa mmoja wa polisi wa kike, aliyeaminika kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye.

Hayo na mengine mengi katika makala ya MBIU YA KTN.

.
RELATED VIDEOS