25th November, 2019
Jamii ya agikuyu ni moja wapo ya jamii zinazoendeleza shughjuli potovu za ukeketaji japo chini kwa chini.Katika Msimu Huu Wa Likizo Wasichana Wengi Hujipata Taabani Wanapoanguka Mikononi Mwa Ngariba Kabla Ya Kurudi Shule Mwakani . Ila Kundi Moja La Akina Mama Huko Kiambu Limeamua Kutumia Njia Mwigo Kwa Kuwafunga Wasichana Mapaja Kisha Kuukata Uzi Kwa Kutumia Makasi Kama Kiashiria Cha Kuwa Wameuvuka Utoto Na Kuingia Utu Uzimani. Kundi Hilo La Nyakinyua Likiongozwa Na Mwenyekiti Wao Reginah Wanderi Linatoa Mafunzo Kwa Wasichana Wadogo Huko Kiambu Kabla Ya Shughuli Hiyo Kufanyiwa Wasichana.