Afisa wa Polisi ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya mwanahabari wa gazeti la the Star Eric Oloo

KTN News Nov 25,2019


View More on Leo Mashinani

Washukiwa Watano Kwa Kifo Cha Mwanahabari Wa Gazeti La The Star Eric Oloo Kufikishwa Kortini Siaya Ili Kufunguliwa Mashtaka.Washukiwa Hao Ni Inspekta Wa Polisi Sabina Kerubo, Victor Lutta, Franklin Lutta, Mwanawe Wa Kike Na Mfanyakazi Wake Sabina Kerubo.Huenda Polisi Wanaofanya Uchunguzi Wakaomba Mahakama Muda Wa Kukamilisha Uchunguzi Wao Kuhusiana Na Kifo Cha Oloo.