×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ripoti ya BBI itachapishwa siku ya Jumanne, Naibu Rais Ruto azidi kutoa tetesi zake

25th November, 2019

Siku Mbili Kabla Ya Jopo La Upatanishi Bbi Kuwasilisha Ripoti Yake Kwa Rais Uhuru Kenyatta Na Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Na Hivyo Kuanzisha Rasmi Mchakato Wa Marekebisho Ya Katiba, Naibu Wa Rais William Ruto Sasa Amejitokeza Na Kuwataka Wakenya Waisubiri Ripoti Hiyo Kabla Ya Kutoa Uamuzi Ikiwa Wataiunga Mkono Au Kuipinga. Huku Hayo Yakijiri Wabunge Wanaomuunga Mkono Ruto Wameelezea Pingamizi Zao Kuhusu Pendekezo La Kutaka Kubadili Mfumo Wa Uongozi Nchini Huku  Mbunge Wa Keiyo Kusini Daniel Rono Akimtaka Rais Uhuru Kenyatta Kuondoa Fikira Ya Kutaka Kubadili Katiba Ili Awe Waziri Mkuu.

.
RELATED VIDEOS