Haki za binadamu Tanzania: Watetezi wa haki hizo ni kundi linalowindwa na watu wasiojulikana

KTN News Nov 19,2019


View More on Leo Mashinani

Watetezi Wa Haki Za Binadamu Nchini Tanzania, Ni Kundi Linalowindwa Na Watu Wasiojulikana Na Kwa Kipindi Cha Kuanzia Mwaka 2015 Hadi Leo Wengi Wao Wamejeruhiwa, Kunyanyaswa, Kutishwa Na Kuuawa Kwa Mujibu Ripoti Za Kituo Cha Sheria Na Haki Za Binadamu Tanzania Katika Harakati Za Kulinda Ufanisi Na Utendaji Wa Kundi Hilo, Mtandao Wa Watetezi Wa Haki Za Binadamu Tanzania Na Chama Cha Msalaba Mwekundu, Wanatoa Mafunzo Ya Kuokoa Uhai Kwa Watetezi Hao Wa Haki Za Binadamu.