19th November, 2019
Kenya Inajiunga Na Mataifa Mengine Ulimwenguni Kwenye Maadhimisho Ya Siku Ya Wanaume Huku Takwimu Za Shirika La Kitaifa Kuhusu Takwimu Zikionyesha Kwamba Wanaume Ni Wachache Nchini Ikilinganishwa Na Wanake. Kwa Mujibu Wa Takwimu Hizo Zilizotolewa Mwezi Uliopita. Kati Ya Idadi Ya Wakenya 47.6 Milioni, 24 Milioni Ni Wanawake Huku Wanaume Wakiwa Milioni 23.6. Leo Hii Baadhi Ya Washikadau Wanakutana Jijini Nairobi Kuadhimisha Siku Hii Lengo Kuu Likiwa Ni Kujadili Masuala Ibuka Yanayokumba Wanaume Nchini. Mada Ya Mwaka Huu Ni 'Masculine Voices In Gender Inclusivity'