×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Voi wahangaishwa na mafuriko

19th November, 2019

Wakazi Wanahesabu Hasara Baada Ya Mto Voi Kuvunja Kingo Zake Kufuatia Mvua Kubwa Inayonyesha Kaunti Hiyo. Maji Hayo Yamesomba Mashamba, Nyumba Na Kutatiza Shughuli Za Timbo Kando Kando Ya Mto Voi. Wakaazi Hao Sasa Wanaomba Msaada Kutoka Kwa Serikali Na Mashirika.

.
RELATED VIDEOS