×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Huenda baadhi ya mawaziri wa kaunti ya mombasa wakatemwa baada ya muhula wao wakuhudumu kutamatika

15th November, 2019

Huenda Baadhi Ya Mawaziri Wa Kaunti Ya Mombasa Wakatemwa Baada Ya Muhula Wao Wakuhudumu Kutamatika Usiku Wa Jumanne.Haya Ni Kwa Mujibu Wa Gavana Wa Mombasa Ali Hassan Joho. Katika Mahojiano Ya Kipekee Na Mwanahabari Wetu Tobias Chanji, Joho Amesema Kuwa Mawaziri Tisa Kwa Sasa Hawana Ajira Na Kwamba Wanaendelea Kupigwa Msasa Utendakazi Wao Na Jopo Maalum.Jopo Hili Linatarajiwa Kutoa Ripoti Yake Siku Tatu Zijazo Na Kubaini Mawaziri Wapi Watakaofurushwa Na Wale Watakaosalia.

.
RELATED VIDEOS