14th November, 2019
Timu ya taifa ya ulengaji shabaha inaendelea kujikakamua katika maandalizi yake, tayari kwa mashindano ya ulengaji shabaha miongoni mwa taifa za Bara Afrika. Timu hiyo inayoongozwa na nahodha Gurpreet Ghanjal itashindania nafasi ya kushiriki mashindano ya Olimpiki.