14th November, 2019
Kaunti ya Kisii ni miongoni mwa manispaa 12 nchini zitakazonufaika na pauni milioni 70 za mpango wa uchumi endelevu. Mradi huo umetolewa na serikali ya Uingereza kwa manispaa kadhaa duniani, kupitia idara ya maendeleo ya kimataifa DFID.