.
12th November, 2019
Chama cha Jubilee kimetangaza mabadiliko kwenye bunge la kaunti ya Nairobi na kumwondoa Abdi Guyo kama kiongozi wa wengi bungeni humo. Sasa Charles Thuo Wakarindi anachukua nafasi ya Guyo, huku Guyo mwenyewe akifika mbele ya majasusi wa DCI kuandikisha taarifa kuhusu visa vya makabiliano kwenye bunge hilo.