Wakaazi wa shamba la Kedong walalamika wakidai kuna njama ya kuwapokonya ardhi zao
12th November, 2019
Wakazi wanaoishi shamba la kedong kwenye kijiji cha Kitet kilicho mpaka wa Narok, Kajiado na Nakuru sasa walalamikia njama ya kupokonywa ardhi yao na watu wanaodaiwa kuwa na ushawishi mkubwa