.
12th November, 2019
Wenyeji wa maeneo ya Athi River na Mavoko wanaitaka serikali ya kaunti ya Machakos kutafuta suluhu ya tatizo la baadhi ya kampuni kuchangia katika uchafuzi wa mazingira kwa kutoa kemikali zenye sumu na kuzielekeza katika baadhi ya mito.