Chama cha marubani nchini chajitokeza na kuonya KQ dhidi ya kuajiri marubani kutoka nchi za kigeni
12th November, 2019
Chama cha marubani hapa nchini kimejitokeza na kuonya kampuni ya ndege ya Kenya Airways (KQ) dhidi ya kuendeleza mpango wa kuajiri marubani kutoka nchi za kigeni.