×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

William Ruto amezisifia serikali za Kaunti kwa kujikaza kupambana na tatizo la malimbikizi

12th November, 2019

Naibu Rais Dkt. William Ruto Amezisifia Serikali Za Kaunti Kwa Kujikaza Kupambana Na Tatizo La Malimbikizi. Akizungumza Katika Hafla Ya Baraza La Uchumi Na Makadirio La Serikali Mabali Mbali – Ibec Dkt, Ruto Alitoa Wito Kwa Serikali Kutilia Maananai Matakwa Ya Serikali Za Kaunti Haswa Katika Ugavi Wa Fedha. Mkao Huo Uliwaleta Pamoja Wawakilishi Kutoka Serikali Kuu Na Pia Za Kaunti Akiwemo Mwenyekiti Wa Baraza La Magavana, Gavana Wa Kakamega Wycliff Oparanya, Joseph Olelenku Wa Kajiado . Profesa Anyang Nyong’o Wa Kisumu, Wa Nyeri Mutahi Kahiga Na Stephen Sang Wa Kaunti Ya Nandi

.
RELATED VIDEOS