×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vijana kutoka mkoa wa pwani wameombwa kukoma kufuata ushauri mbaya kutoka kwa wanasiasa

12th November, 2019

Vijana Kutoka Mkoa Wa Pwani Wameombwa Kukoma Kufuata Ushauri Mbaya Kutoka Kwa Wanasiasa Wasio Na Nia Njema Ambao Wamewafanya Kuzua Vurugu Katika Maeneo Mblaimbli Kwa Faida Zao Binafsi. Katiika Kongamanao La Vijana Lililowaleta Pamoja Vija Na Kutoka Kaunti Za Pwani, Embu Na Tharaka Nithi Kamishana Wa Kaunti Ya Embu Galagalo Hiddi Aliwaongoza Viongozi Wengine Katika  Kutoa Hamasa Kwa Vijana Wakome Kujihusisha Na Vikundi Haramu Kama Wakali Kwanza, Wajukuu Wa Nyanyana Vinginevyo. Aidha Viongozi Hao Wameulaumu Utovu Wa Usalama Kwa Kuwa Chanzo Cha Kuwafukuza Watalii Na Wawekezaji

.
RELATED VIDEOS