Hoteli 10 huenda zikafungwa kutokana na hali duni ya usafi katika kaunti ya Garissa

KTN News Nov 12,2019


View More on Leo Mashinani

Zaidi ya hoteli kumi kaunti ya Garisa zipo hatari ya kufungwa kwasababu ya hali ya usafi.serikali ya kaunti ya Garissa inadaiwa kumefeli kutengeneza mabomba ya kupitisha maji taka kidole cha lawama kikinyoshewa idara ya mpangilio wa jiji