Ujenzi wa kituo kipya cha mabasi Nyeri kinalenga kupunguza msongamano
KTN News Nov 12,2019
Huenda Ikawa Afueni Kwa Wenye Magari Pamoja Na Wasafiri Wengine Baada Ya Kituo Kipya Cha Kuegesha Magari Kuweza Kuanzishwa Na Kuendelea Kujengwa Katika Eneo Hilo, Ambacho Kina Lengo Ya Kuweza Kuondoa Msongamano Wa Magari Katika Mji Wa Nyeri