×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanafunzi Justine King'ori hawezi kwenda haja kubwa kwa njia ya kawaida

11th November, 2019

Kwa Mwanadamu Yeyote Kwenda Haja Kubwa Ni Jambo La Kawaida Na Laweza Zuiwa Au Kudhibitiwa Iwapo Mtu Atataka Iwe Hivyo. Lakini Kwa Kijana Mmoja Anayesomea Shule Ya Msingi Ya Naivasha Deb Hali Ni Tofauti. Justine King'ori Mwenye Umri Wa Miaka Kumi Na Mmoja Ambaye Yuko Darasa La Tano Katika Shule Ya Msingi Ya Naivasha Deb hawezi kwenda haja kubwa kwa njia ya kawaida. Badala Yake Analazimika Kujifunga Mfuko Maalum Wa Kwenda Haja. Anaugua Ugonjwa Usiokuwa Wa Kawaida Unaofahamika Kama Hirchsprungs

 

.
RELATED VIDEOS