.
11th November, 2019
Huenda Wakaazi Wa Kaunti Ya Taita Taveta Wakakosa Huduma Za Afya Kutoka Kwa Vituo Vya Umma Baada Ya Wahudumu Wa Afya Kurejea Kwenye Mgomo Baada Ya Serikali Ya Kaunti Hiyo Kushindwa Kutimiza Mkataba Na Wahudumu Hao.