WANAWAKE NGANGARI: Wanawake wajitosa katika kazi ya umakanika, ni mradi wa kuwasaidia kina mama

KTN News Nov 09,2019


View More on KTN Leo

Wakati Huu Ambapo Uchumi Unatajwa Kuwa Katika Hali Ya Kuzorota Nchini,  Baadhi Ya Akina Mama Wameungana Kuwatia Shime Wanawake Wenzao Wakumbatie Kazi Za Ufundi Ili Kuongeza Nafasi Zao Za Kujiajiri Na Kujiendeleza Kimaisha. Lofty Matambo Alikutana Na Kundi Hilo Mtaani Dagoreti Corner Hapa Jijini Nairobi Lililobuniwa Mwaka Wa 2015 Na Linalenga Kuwafikia Wanawake Milioni 5 Kufikia Mwaka Wa 2030.