Mahakama kuu yaamuru IEBC kutoa sajili ya wapiga kura wote kwenye uchaguzi wa Kibra

KTN News Nov 06,2019


View More on KTN Leo

Mahakama kuu imeamuru tume huru ya uchaguzi IEBC itoe sajili ya wapiga kura wote kwenye uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Kibra. Chama cha ODM kilielekea mahakamani kuitaka iebc iorodheshe majina yote ya wapiga kura pamoja na nambari zao za simu na vitambulisho.