Majangili wavamia vijiji viwili Marsabit na kuuwa watu 12, maafisa wawili wa polisi miongoni mwao

KTN News Nov 06,2019


View More on KTN Mbiu

Watu 12 miongoni mwao ikiwaa na maafisa wa polisi wawili na wanafunzi wameuawa mapema usiku wa kuamkia leo na mifugo 800 kuibiwa baada ya majangili wasiopungua 500 kuvamia vijiji viwili tafauti katika kaunti ya Marsabit.