Wakazi wa Kaunti mbali mbali watoa hisia zao kuhusu matokea ya Sensa

KTN News Nov 05,2019


View More on Leo Mashinani

Hisia Mbalimbali Zinaendelea Kutolewa Kuhusiana Na Matokeo Ya Hesabu Ya Watu Ambayo Yameonyesha Ongezeko Ndogo Ya Idadi Ya Watu Katika Baadhi Ya Kaunti Hapa Nchini. Magavana Wa Kaunti Ya Tharaka-Nithi Na Meru Wamesema Kua Matokeo Ya Sensa Yaliyotangazwa Hayaelezi Ukweli Wa Mambo